Discuss with your friends
Would you like to discover for yourself what God is like and how God wants you to live?
Most people like to make these discoveries in a group with their friends. Here are some questions to get your discussion started
Discovering Spiritual Community #14
Caring for one another
1. Una shukuru kwa ajili ya nini juma hili?
2. Una sumbukana na nini na jinsi gani tunaweza kukusaidia?
Accountability
3. Ni vipi uliweka kwa matendo tulio jifunza mwisho?
4. Ulishiriki na nani somo lililopita na matokeo yalikuwaje?
5. What needs did you meet in the community last week?
Discover
6. Uliza mtu asome kifungo kimoja kwa wakati.
7. Kuwa na mmoja katika kikundi na aseme kifungo kwa maneno yake mwenyewe.
8. Uliza kikundi kama amewacha au kuongeza kitu.
Marko 5:1-20
6 Alipomwona Yesu kwa mbali, alimkimbilia akapiga magoti mbele yake,7 akapiga kelele kwa nguvu akasema, “Unataka nini kwangu, Yesu, Mwana wa Mungu Mkuu? Ninakusihi kwa jina la Mungu, usinitese!”8 Alisema hivi kwa kuwa Yesu alikuwa akimwambia, “Mtoke huyu mtu! Wewe pepo mchafu!”
9 Yesu akamwuliza, “Jina lako ni nani?” Akamjibu, “Jina langu ni jeshi, kwa maana tupo wengi.”10 Akamwomba sana Yesu asiwapeleke nje ya jimbo lile.11 Hapo hapo lilikuwapo kundi la nguruwe likilisha kando ya mlima.12 Wale pepo wakamsihi Yesu, “Turuhusu tukawaingie wale nguruwe.”13 Basi akawaruhusu. Wakamtoka yule mtu wakaenda wakawaingia wale nguruwe na kundi lote la nguruwe wapatao elfu mbili likatimka kasi kwenye mteremko ule, wakazama ziwani, wakafa.
14 Wale waliokuwa wakichunga hao nguruwe wakakimbilia mjini na vijijini kueleza yaliyotokea. Watu wakatoka kwenda kujionea mambo hayo.
15 Wakaja kwa Yesu, wakamwona yule mtu aliyekuwa amepagawa na pepo akiwa ameketi, amevaa nguo na pia akiwa na akili timamu. Wakaogopa.16 Wale walioyaona mambo haya waliwaeleza wengine yaliyomto kea yule aliyekuwa na pepo na lile kundi la nguruwe.17 Basi watu wakaanza kumwomba Yesu aondoke katika wilaya yao.
18 Yesu alipoanza kuingia kwenye mashua, yule mtu aliyekuwa amepagawa na pepo akamsihi Yesu waende pamoja.19 Yesu akamka talia. Badala yake akamwambia, “Nenda nyumbani kwa jamaa yako ukawaeleze mambo makuu aliyokutendea Bwana na jinsi alivyokuhuru mia.”20 Yule mtu akaenda akaanza kutangaza katika Dekapoli - yaani miji kumi, mambo makuu aliyomtendea Bwana. Na watu wote wakastaajabu.
Copyright © 1989 by Biblica
Read More
Application
9. Ukimaliza vivungo vyote, uliza mtu katika kikundi aseme hadithi yote kwa kichwa. Wacha kikundi kirekebishe makosa.
10. Kifungo hiki kinatueleza nini kuhusu Mungu?
11. Kifungu hiki kinatueleza nini kuhusu wanadamu?
Planning
12. Kama kifungo hiki ni kweli, ni tabia ipi tunafaa kubadilisha juma hili?
13. Utamweleza nani kuhusu hadithi hii juma hili?
14. Mahitaji yapi tunaweza kuyatekeleza juma hili katika jamii?









