Discuss with your friends
Would you like to discover for yourself what God is like and how God wants you to live?
Most people like to make these discoveries in a group with their friends. Here are some questions to get your discussion started
Discovering Spiritual Community #9
Caring for one another
1. Una shukuru kwa ajili ya nini juma hili?
2. Una sumbukana na nini na jinsi gani tunaweza kukusaidia?
Accountability
3. Ni vipi uliweka kwa matendo tulio jifunza mwisho?
4. Ulishiriki na nani somo lililopita na matokeo yalikuwaje?
5. What needs did you meet in the community last week?
Discover
6. Uliza mtu asome kifungo kimoja kwa wakati.
7. Kuwa na mmoja katika kikundi na aseme kifungo kwa maneno yake mwenyewe.
8. Uliza kikundi kama amewacha au kuongeza kitu.
4 Yohana Mbatizaji alivaa nguo zilizotengenezwa kwa manyoya ya ngamia na kiunoni mwake alijifunga mkanda wa ngozi; chakula chake kilikuwa nzige na asali mwitu.5 Watu walimwendea kutoka Yerusalemu, Yudea yote na bonde lote la mto Yordani.6 Nao walipoungama dhambi zao aliwabatiza katika mto Yordani.7 Lakini alipowaona Mafarisayo na Masadukayo wengi wakija ili awabatize, aliwaambia, “Ninyi watoto wa nyoka! Ni nani aliyewaonya muepuke ghadhabu inayokuja?8 Basi thibitisheni kwa mwenendo mwema kwamba mmeziacha dhambi zenu.9 Wala msidhani mnaweza kujitetea mkisema, ‘Sisi ni wana wa Ibrahimu10 Na hata sasa shoka la hukumu ya Mungu limewekwa tayari katika mashina ya miti. Kila mti usiozaa matunda mazuri, utakatwa katwa na kutupwa motoni.
11 “Mimi nawabatiza kwa maji kama ishara kwamba mmetubu dhambi zenu. Lakini baada yangu anakuja aliye mkuu kuliko mimi, ambaye sistahili hata kuchukua viatu vyake. Yeye atawabatiza kwa Roho Mtakatifu na kwa moto.12 Pepeto lake liko mkononi, naye atasafisha pa kupepetea nafaka, na ngano yake ataiweka ghalani; lakini makapi atayachoma kwa moto usiozimika.”
Yesu Abatizwa
13 Kisha Yesu akaja kutoka Galilaya mpaka mto Yordani ili abatizwe na Yohana.14 Yohana alitaka kumzuia akimwambia, “Mimi ndiye ninahitaji kubatizwa na wewe, mbona unakuja kwangu? ”15 Lakini Yesu akamjibu, “Kubali iwe hivi kwa sasa; kwa maana inatupasa kutimiza haki yote.” Kwa hiyo Yohana akakubali.
16 Na Yesu alipokwisha kubatizwa alitoka kwenye maji, ghafla mbingu zilifunguka, akamwona Roho wa Mungu akishuka kama hua aka kaa juu yake.17 Na sauti kutoka mbinguni ikasema, “Huyu ndiye
Read full chapter








