Discuss with your friends
Would you like to discover for yourself what God is like and how God wants you to live?
Most people like to make these discoveries in a group with their friends. Here are some questions to get your discussion started
Discovering Spiritual Community #12
Caring for one another
1. Una shukuru kwa ajili ya nini juma hili?
2. Una sumbukana na nini na jinsi gani tunaweza kukusaidia?
Accountability
3. Ni vipi uliweka kwa matendo tulio jifunza mwisho?
4. Ulishiriki na nani somo lililopita na matokeo yalikuwaje?
5. What needs did you meet in the community last week?
Discover
6. Uliza mtu asome kifungo kimoja kwa wakati.
7. Kuwa na mmoja katika kikundi na aseme kifungo kwa maneno yake mwenyewe.
8. Uliza kikundi kama amewacha au kuongeza kitu.
Luka 5:17-26
18-19 Kisha wakaja watu wamembeba mgonjwa aliyepooza kwe nye kitanda. Wakajaribu kumpitisha ndani wamfikishe alipokuwa Yesu, lakini wakashindwa kwa sababu ya msongamano wa watu. Basi wakampandisha juu ya paa, wakaondoa baadhi ya vigae, wakapata nafasi ya kumteremsha yule mgonjwa pamoja na kitanda chake kwa kamba, hadi mbele ya Yesu.20 Alipoona imani yao, Yesu alimwam bia yule mgonjwa, “Rafiki yangu, umesamehewa dhambi zako.”21 Wale walimu wa sheria na Mafarisayo wakaanza kusemezana, “Mbona huyu anakufuru! Anadhani yeye ni nani? Hakuna awezae kusamehe dhambi ila Mungu peke yake.”
22 Yesu alifahamu mawazo yao kwa hiyo akawauliza, “Kwa nini mnafikiri mimi ninakufuru?23 Je, ni lipi lililo rahisi zaidi, kumwambia huyu, ‘Umesamehewa dhambi zako’; au kusema, ‘Simama utembee?’24 Sasa nitawahakikishia kuwa mimi Mwana wa Adamu ninao uwezo wa kusamehe dhambi duniani.” Akamgeukia yule mgonjwa aliyepooza, akasema, “Nakuambia: Simama! Chukua kitanda chako uende nyumbani.”25 Mara yule mtu aliyekuwa amepooza akasimama mbele yao wote, akachukua kitanda chake akaenda zake nyumbani, huku akimtukuza Mungu.26 Wote waliokuwepo wakastaajabu sana. Wakajaa hofu. Wakamtukuza Mungu, wakasema, “Tumeona maajabu leo.”
Copyright © 1989 by Biblica
Read More
Application
9. Ukimaliza vivungo vyote, uliza mtu katika kikundi aseme hadithi yote kwa kichwa. Wacha kikundi kirekebishe makosa.
10. Kifungo hiki kinatueleza nini kuhusu Mungu?
11. Kifungu hiki kinatueleza nini kuhusu wanadamu?
Planning
12. Kama kifungo hiki ni kweli, ni tabia ipi tunafaa kubadilisha juma hili?
13. Utamweleza nani kuhusu hadithi hii juma hili?
14. Mahitaji yapi tunaweza kuyatekeleza juma hili katika jamii?









